Mama kijacho huyo amepost picha akiwa kwenye chumba cha Diamond kilichopo kwenye nyumba hiyo iliyopambwa kwa vitu vingi vya thamani.
Gypsum ya chumba hicho kipo customised kwa jina lake.
“Gotta love my current view,” aliandika Zari kwenye picha inayoonesha gypsum hiyo.
Post a Comment