0

Basi la Nganga linalofanya safari zake Iringa na Kilombero limegongana uso kwa uso na Fuso kisha

magari hayo kuteketea kwa moto huko maeneo ya Milimani kilometa kadhaa kutoka Ruaha Mbuyuni. Inasadikika kuwa watu kadhaa wamepoteza maisha akiwemo dereva wa fuso hilo na wengine kujeruiwa vubaya. Chanzo chetu kunasema kuwa ajali hii imetokea leo asubuhi saa mbili. Kwa Taarifa zaidi endelea kufuatilia hapa.
Habari imetumwa na mdau wetu Ergon elly





 
 

Post a Comment

 
Top