0

Baada ya safari ndefu ya kuwatafuta wasanii bora chipukizi wa Muzik katika Category tofauti tofauti, Kvoos Multimedia inapenda kuwatangaza wasanii wafuatao kuwa ndio washindi wa Tuzo za Kvoos Muzic Talent Award kwa mwezi April, 2015. Kvoos Multimedia inachukua nafasi hii kuwapongeza kwa ushindi wenu huo.

Huo ni mwanzo mzuri kwenu, Tunahamini mtaweza kufanya Zaidi ya hapo,

Hongereni sanaaaaa…!!!!!!

(1) BEST MUSIC SONG: FIRE STAR – SHE IS BEATIFUL,

(2) BEST HIPHOP MUSIC VIDEO SONG: MYSELF FEAT FRAGA – STRUGGLING,

(3) BEST MUSIC VIDEO SONG: PRODUCER P FEAT JADAS – DRIVE ME CRAZY,

(4) BEST HIPHOP MUSIC SONG: ZUNGU LA FLOO – HUSTLE.

(5) APPRECIATION AWARD: MAC MC FEAT DARK MASTER & ANGE TAINER – MTAONA

Post a Comment

 
Top