“Unajua mimi binafsi kila ninachokifanya nakifanya kwa ubora ule ule mmoja,” alisema kupitia 255 ya Clouds Fm.
“Lakini sasa unajua mashabiki wao ndio wapokeaji, wanamaamuzi hili walipokee kwa ukubwa gani na hili walipokee kwa ukubwa gani. Kitu ambacho hakinikwazi ni kwamba nachofanya ni kizuri yaani bado naendelea kufanya muziki mzuri. Kwahiyo naweza kusema ‘I Love You’ ni kati ya single zangu zilizoweza kupata bahati ya kupenya zaidi masikioni mwa mashabiki wa Tanzania na East Afrika kwa ujumla.” Alimaliza
Post a Comment