
Lakini pia alisema kuna mambo mengi mengi tu yalimkatisha tamaa na kushindwa kutusua kichua icho.
Licha ya kushindwa kufanya kideo icho chibow ameongea na teamkazi kuwa tayali amefanya ngoma mpya ambayo amemshirikisha mcongo kutoka malaika band je?ni nani na amesema kuwa wimbo huo unakwenda kwa jina la NIPOKEE na mpaka sasa bado hajaanza promo rasmi hila soon ataitangaza katika mitandao mbalimbali ya jamii na media zote na itatoka audio na video pamoja hila siwezi sema ni lini hila mashabiki wangu wakae mkao wa kula.ALISEMA CHIBOW MTOTO WA PWANI

Post a Comment