0
Rapper Stereo ambaye hivi karibuni aliachia kazi yake mpya ‘Ukonga Ilala’ aliyomshirikisha Chidi Benz, amesema kwa miaka mingi alikuwa na hamu ya kufanya kazi na Chid Benz.
Stereo ameiambia Enewz ya EATV kuwa Chidi Benz ni moja ya mamcee aliokuwa na ndoto za kufanya nao kazi kwa muda mrefu.

“Niliposikia wimbo wa ‘Beef’ nikaona ni ngoma kali, nikamwambia bro inabidi tufanye kitu.”

Stereo amesisitiza pia kuwa mpango wa kufanya video ya kazi hiyo upo japo kwa sasa wamejikita katika kuisambaza redioni rekodi yenyewe kwanza.

Post a Comment

 
Top