Wema Sepetu na Idris Sultan wanaonekana kwenye video hiyo.
Wanjera ya Ommy Dimpoz yaingia kwenye chart ya muziki wa Afrika ya MTV Base
Video ya wimbo wa Ommy Dimpoz, ‘Wanjera’ imeingia kwenye chart ya muziki wa Afrika ya kituo cha runinga cha MTV Base.
Chart hiyo ya nyimbo 10 inajulikana kwa jina la ‘Official African Chart’. Wanjera imekamata nafasi ya 09 wiki hii. Video hiyo ilifanyika nchini Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather.
Wema Sepetu na Idris Sultan wanaonekana kwenye video hiyo.
Wema Sepetu na Idris Sultan wanaonekana kwenye video hiyo.
Post a Comment