0
Watangazaji mbeya wapata pigo kubwa katika tasnia ya huwandishi wa habari ya kuondokewa na mtangazaji mwenzao anaefahamika kwa jina la gcleaf mtangazaji na producer wa generetion fm redio mbeya.


REST IN PEACE G CLEAF MTANGAZAJI MWENZETU TOKA GENERETION FM MBEYA AMEFARIKI KUTOKANA NA AJALI YA HAPPY NATION ILIYOTOKEA JUZ MIKUMI KARIBU NA MIZANI AKIWA ANATOKEA DAR KUJA MBEYA MUNGU AILAZE ROHO YAKE MAHALA PEMA PEPON AMEIN MBELE YETU NYUMA YAKE
 

Post a Comment

 
Top