0
Aliyekuwa mchumba wa mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph ‘Sugu’ Mbilinyi, Faiza Ally ameshtakiwa na binamu yake baada ya kudaiwa kumtishia kumuua.
Faiza ambaye ni mama wa mtoto mmoja aliyezaa na Sugu ameandika kwenye Instagram: Nimefunguliwa kesi na ndugu yangu ..RAHMA MOHAMED kwa kesi ya kutishia kuua – dah kweli mtu akikusudia mabaya hashindwi – Mungu wangu nisimamie Ameen Niko oyster-bay police.”

Post a Comment

 
Top