Familia na masomo ni chanzo cha ukimya wangu
Ukimya wa Keisha unatokana na kuwa busy na kulea familia na kubanwa na masomo.
Keisha anachukua shahada ya ununuzi na ugavi (Procurement and Supplies Management) katika chuo cha biashara cha CBE na yupo mwaka wa pili. Pamoja na hivyo Keisha amesema anatarajia kushoot video ya wimbo wake mpya aliomshirikisha Barnaba. Mtazame zaidi kwenye mahojiano hapo juu
Post a Comment