Mazishi ya mama mzazi wa Enock Bella mwimbaji wa Yamoto band. #RIP
Enock Bella ni mwimbaji kutoka band ya Yamoto ambapo mama huyo alifariki juzi hospitalini wakati akijifungua hukohuko Zanzibar, maziko yamefanyika Zanzbar pia maeneo ya Ufufuma Chwaka jioni ya May 13 2015.
Enock
Aslay wa Yamoto Band ni miongoni mwa waliokwenda kwenye maziko.
Post a Comment