0
Uhusiano wa kimapenzi kati ya Lil Wayne na Chistina Milian sio siri tena japokuwa wawili hawa hata kwenye interview wamekua hawako huru sana kuongelea mapenzi yao. Vitendo tu ndio vinaongea sasa hivi ambapo Christina Milian amechora tattoo mpya ambayo inaonganisha herufi za majina yao wote wawili kama inavyoonekana kwenye picha hapo juu, Love hard TnT

Kama hiyo haitoshi, Chistina Milian ameendeleza mapenzi yake zaidi kwa kuonyesha penzi lake hata nje ya moyo kwa kupitia hii bracelet ya TNT ambayo inasimama kwa Tina na Tunechi.

Post a Comment

 
Top