Wakiongea na East Africa Radio, wawili hao wamesema uhusiano wao ni maisha binafsi hivyo wamewataka mashabiki wao kufuatilia muziki wao zaidi.
“Ni personal life kwakweli. Ikifika mahali ikasogea kwenye hatua nyingine zaidi kila mtu atajua,” alisema Grace.
“Waendelee kumfuatilia One the Incredible tu na kama wataendelea kumfuatilia Grace vile vile waendelee kumfuatilia, sina mengi ya kusema juu ya hilo yaani,” alisisitiza One.
Post a Comment