Kanye alitangaza mabadiliko hayo kupitia Twitter na kusema kuwa hata jina hilo la sasa linaweza pia kubadilika muda wowote.
“I’m changing my album name to ‘SWISH'” na baadae akaongeza tweet nyingine “I might change it again but that’s the name now.” .
Bado hajaweka wazi tarehe rasmi ya kutoka kwa album hiyo lakini itakuwa mwaka huu 2015.
‘SWISH’ itakuwa ni album ya sita kwa rapper huyo baada ya ‘Yeezuz’ iliyotoka mwaka 2013.
Post a Comment