0
Madereva mbeya waweka mgomo wa ice kwenda root zao za kila siku kwa madai kuwa wameongezewa gharama za reseni kutoka kiasi walichokuwa wanalipa mpaka kufikia kiasi cha laki mbili.


kituo cha mabasi kabwe watu wajaa kwa ku kosa usafiri wanafunzi walia na serikali na uongozi wa mbeya

 

Kituo cha mabasi ya mikoani jijini mbeya maharufu kama nane nane kikiwa empty(hakuna) daladala hata moja ikifanya root zake za seheme za jiji







Post a Comment

 
Top