“Panamusiq strikes another high profile deal by signing Linah on a long term
management contract. Linah is a Tanzanian award winning singer and performer with few hits in her catalogue including Ole Themba, Hellow . Christian Bell and Kizaizai ft. Diamond.” yalisema maelezo ya Kampuni hiyo.
Linah amekuwa msanii wa pili kujiunga na kampuni hiyo baada ya Ben Pol. Kabla ya kujiunga na Panamusiq alikuwa akisimamiwa na kampuni ya No Fake Zone.
Post a Comment