0

Msanii maharufu kwa jina la y jay amepata zari la kufanya video ya wimbo wake wa pigo la moyo toka kwa kampuni ambayo inatengeneza video za chris wamarya sky production iliopo morogoro.

Msani uyoo amepata bahati ya pekee ni mara baada ya kuzurumiwa pesa na director aliyetakiwa afanye nae video ya pigo la moyo ambayo amefanya na chris wamarya sasa video iyo kufanywa na sky mjini morogoro na rasmi juma tatu hii wataanza kushoot.














Post a Comment

 
Top