Msanii maarufu wa kike tz ruby alieimba na yule afanya collabo na ally kiba mzee wa cheketua kwa pamoja waonekana ndani ya tudio za chaiders record wakiandaa ngoma yao mpya itakayo kuja ivi karibuni inayokwenda kwa jina la ayaya.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment