0
Alikiba anatarajia kuwapa mashabiki wake zawadi waliyoisubiri kwa muda mrefu – video.

Alikiba akiwa katika kazi Muimbaji huyo ameshoot video nchini Afrika Kusini na muongozaji Meji Alabi.

Kupitia ukurasa wa Facebook, Alikiba amepost na utengenezaji wa video hiyo na kuandika: Music video shoot in South Africa at 3 degrees celsius… We keep rolling!


Muongozaji Meji Alabi akiwa kazini

Hivi karibuni mashabiki wa Alikiba walilalamika kuchelewa kwenye video ya Chekecha na kudai kuwa anawaangusha.


Alikiba akiwa na Meji Alabi

Post a Comment

 
Top