AMMY CHIBA AMESEMA RASMI KUWA KWA SASA HATOFANYA TENA MZIKI
Msanii wa kike anaefanya pouwa na ngoma zake kama maradhi ya moyo ft zax b,subira ya moyo na tunda langu ft barnaba AMINA CHIBABA a.k.a ammy chiba amefunguka na kusema
kwamba kutokana hali halisi ya game la mziki kwa sasa ameamua kuacha game mapaka atakapo hona mziki unalipa.
Licha ya kwamba amesema kuwa kasanda game teamkazi ilijaribu kuongea nae kwa kina na kujua tatizo lingine ni nini lakini hakuweza kusema ingawa muonekano wake anaonekana kutingwa na ndoa lakini alikana kitu hicho na hizi ni baadhi ya picha zake na muonekano wake.
Post a Comment