Ndani ya wiki mbili video ya “Nana” Diamond Platnumz Feat Flavour yafikisha idadi hii ya watazamaji
Mashabiki wameipokea vizur video mpa ya Diamond Platnumz feat Flavour “Nana” Hadi sasa video hiyo inaelekea kufikisha watazamaji milioni moja baada ya wiki mbili toka ilipowekwa youtube. Kwa sasa video hiyo imeweza kutazamwa jumla ya 953,578 na ukizitazama idadi hiyo ya watazamaji utagundua ni jinsi gani mashabiki wameipokea video hiyo kwa nguvu.
Post a Comment