Y jay ni msanii wa nyanda za juu kusini mkoa njombe wilayani makete ametoa video yake ya kwanza baada ya kutapeliwa na director mmoja hapa nchini sasa video hii imefanywa na company ya sky media na director nyata.Wimbo huu amemshirikisha msanii toka moro mji kasoro bahari chris wamarya unaenda kwa jina la pigo la moyo.
Post a Comment