0


Kundi la Sauti Sol lilijipatia ujiko mwingi baada ya juzi kutumbuiza kwenye hafla iliyohudhuriwa na Rais wa Marekani Barack Obama na mwenzie wa Kenya, Uhuru Kenyatta.“Ile kitu sijui niseme alisema au ali-promise lakini Sauti Sol walimwelezea imekuwa kitu ya ghafla sana kucheza naye. Afrika nzima walikuwa wanatamani kucheza na kumwimbia na siku moja kuwa na yeye. Naye Obama akaelezea hivyo ndio maisha yanavyokuwa,” amesema.

“Pia katika speech yake alikuwa anaongelea kuhusu uhusiano wa America na Kenya si tu kusaidia kuhusu pesa, kusaidiana kwa kuchange culture. Kuna vitu vingi sana Kenya wanapenda kutoka America, akasema in America kuna watu wanajifunza Kiswahili.”

Video inayomuonesha Obama akicheza ‘Lipala Dance’ na wasanii hao ilikuwa gumzo weekend hii.

Akizungumza leo na kipindi cha XXL cha Clouds FM, meneja wa kundi hilo, Anyiko amesema kucheza muziki na Obama ni kitu kikubwa kuwahi kutokea kwa kundi hilo.





Post a Comment

 
Top