Eddy Kenzo akiwa na Van Damme
Star huyo wa ‘Sitya Loss’ amepost picha akiwa na muigizaji huyo mkongwe na kumshukuru kwa kukutana naye, na kuongeza kuwa atampeleka Uganda soon.
“Thank you for everything bro today was a good day Jean-Claude Van Damme movie star of all times. I’m bringing him to Uganda soon.” – Eddy Kenzo
Jean-Claude Van Damme alijipatia umaarufu mkubwa kupitia movie mbalimbali za action alizocheza zikiwemo, Kickboxer, Hard Target, Street Fighter, Timecop na Bloodsport.
Post a Comment