Home
»
STORY
» Rapa Aka atangaza collabo nyingine kubwa yaja so muda mrefu
Baada ya hit kubwa ya ‘All Eyes On Me’ kumpa tuzo ya collabo bora zaidi kwenye tuzo za MAMA, rapa AKA amethibitisha ujio wa collabo nyingine kali. Kwa mujibu wa uongozi wake ‘Vth Season’ Aka amefanya wimbo na Burna Boy, Yanga Chief na Khuli Chana.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.