Christian Bella na Alikiba waliopo nchini Afrika Kusini, wamekamilisha ku-shoot video ya wimbo wao ‘Nagharamia.’
Bella amesema kuwa kazi hiyo ilienda kama walivyopanga.
“Video tumemaliza jana, imeenda poa na November inatoka audio na video, kwahiyo sasa hivi mashabiki wasubirie mambo mazuri yanakuja,”
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment