Kionjo cha video mpya ya Harmonize ‘Aiyola’
Msanii mpya wa label ya WCB inayomilikiwa na superstar Diamond Platnumz, Harmonize amewaonjesha mashabiki sekunde 11 za video yake ya kwanza ‘Aiyola’ aliyoenda kushoot Afrika Kusini. Wiki iliyopita Harmonize alisema kuwa video hiyo tayari imekamilika na muda wowote kuanzia sasa inaweza kuachiwa.
Post a Comment