Neyo kaimba mbele ya rais Barack Obama,hii tarifa mpya kwenye maisha yake.
Rnb Staa Neyo ambaye hivi karibuni amefanya show kwenye shughuli ya chakula cha usiku ndani ya
White House iliyotayarishwa na Barack Obama akiwa na baadhi ya viongozi kutoka nchini China anategemea kupata mtoto wa tatu na mchumba wake Crystal Renay.
No comments:
Post a Comment