Video ya Game ’ yashika namba moja kwenye chati ya video ya MTV Base.
Ni habari nzuri kwa Tanzania na kwa Navy Kenzo baada ya video ya kubwa
kuliko kushika namba moja kwenye chati ya video bora ya Mtv Base
‘Official African Chart’.
Hii video ilitayarishwa na Justin Campos na imefanya vizuri nje na ndani ya Tanzania.
No comments:
Post a Comment