0
Staa wa Nigeria, Wizkid na staa wa DRC, Fally Ipupa wamekutana Paris, Ufarasa ambako wameenda kufanya show.
Wizkid na Fally hawajaiachia fursa hiyo ipite hivi hivi, wameamua kuingia studio huko Paris na kurekodi wimbo mpya wa pamoja.

“Good day Paris!! Studio link up with the brother @fallyipupa01” aliandika Wizkid kwenye moja ya picha zake.

Hit maker huyo wa ‘Ojuelegba’ ambaye mwezi uliopita aliahirisha kuachia album yake mpya hadi mwakani, katika post nyingine amegusia kuwa kuna ngoma mpya zinakuja. “You can never force anyone to understand your vision or ride for you! Starboy the dream Team!! We over here taking over city by city!!! Seeing the world!! I’m not about that hype thing, but new fire coming. Blessed to be doing this and making my stars happy!” alindika Wizkid

Post a Comment

 
Top