0
Jay Z amepanga kuinunua Aspiro – kampuni ya Sweden inayostream muziki kwa malipo ya mwezi kama inavyofanya Spotify.
jay-z-1024
Manunuzi hayo ni kupitia Project Panther Bidco, inayomilikiwa na kampuni ya Jay Z iitwayo S. Carter Enterprises.

Dili hiyo bado haijakamilika lakini baada ya kuinunua, Jay Z anataka kuipanua zaidi kutoka nchi za Scandanavia hadi kuwa kampuni ya dunia nzima.
Wengi wanadhani kuwa lengo la kuinunua kampuni hiyo ni kuwa mshindani wa Spotify.

Post a Comment

 
Top