0

Usiku wa jionee katika uzinduzi wa albamu ya msanii machachari katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya afaamikae kwa jina la Berdon Mnyama juu pichani

hivi karibuni katika uzinduzi wa albamu yake iendayo kwa jina la jionee, shoo nzima ilisimamishwa vyema na Radio station zote za jiji la Mbeya ikiwemo Mbeya fm, Sweet Fm, Bomba Fm, Lock Fm, Highland Fm, Dreem Fm na zingine nyingi sambamba mh.Sambee Shitambala na Michuzi Media Group.Picha Zote na Mr.Pengo.
baadhi ya wadau na wapenzi kinazi wa msanii berdon mnyama wakifuatilia shoo kwa makini.

zoezi la uzinduzi wa albamu hiyo ikiendeshwa sambamba na mh.Sambee Shitambala ambaye ni advocate na mNEC.

mh.Sambee Shitambala ambaye ni advocate na mNEC ndiye mgeni rasmi akitoa neno baada ya kuzindua rasmi albamu hiyo.

nyuma ya jukwaa baadhi ya wasanii ndani ya pozz.

JACK SWAGA AKIKOLEZA MOTO KATIKA USIKU WAJIONEE.


MAOMBI YA KUWAKUMBUKA BAADHI YA NDUGU NA JAMAA WALIO TANGULIA MBELE ZA HAKI.

NYOMIIIIII.


MWANADADA SILVIA AKITUMBUIZA JUKWAANI WIMBO WAKE WA NIPO NAE.

DJ SPEED KWENYE MASHINE.





WIMBO WA KUPINGA MAUWAJI YA ALBINO ULIO TUNGWA NA WASANII WA JIJI LA MBEYA WAKIONGOZWA NA DADA SUBI MWAMBIGIJA UKIKONGA NYOYO ZA WATU.

MSANII ANEITIKISA MKOA WA MBEYA KWA RNB ZAX 4 REAL AKIPAGAWISHA MASHABIKI.

MAMA MZAZI WA MSANII BERDON MNYAMA SARAH MWAIPOPO AKIZUNGUMZA JAMBO KATIKA HAFRA HIYO.



MAMBO YA UZWAJI WA ALBAMU YAKIENDELEA.


MR.KUBIDAYO KUSHOTO AKIWA NA DJ KAUZU KATIKA POZZ.

 

 MENEJA WA BOMBA FM MBEYA MR FREDY ALBERT
 

 SOUT FROM EAST WAKIFANYA SHOW KALI.



DIRECTOR KIKUNIZO KUTOKA MASHADA INC NDANI YA MNUSO.


D BRAIN MWANA HIP HOP AKITUSUA NDANI YA MIC.



MSHEREHESHAJI PR16 TOKA 92.7 AKIFANYA YAKE.




HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA NA JINSI ILIVYO FANA NDANI YA NASOMA LOGE MAMA JOHN JIJINI MBEYA.
PRODUSER DAYYO KUTOKA MASHADA PRODUCTION.

Post a Comment

 
Top