0
Breezy na Riri
Chris Brown na Rihanna walifanya collabo kadhaa kabla ya uhusiano wao kuvunjika, na miongoni mwa collabo hizo kuna moja ambayo haikuwahi kusikika iliyovuja Jumapili April 19, 2015.

Wimbo huo ‘Put It Up’ hapo awali ulipangwa kujumuishwa kwenye album ya Chris Brown iliyotoka mwaka jana “X”, lakini ghafla uliondolewa kwenye orodha ya nyimbo za album hiyo baada ya uhusiano wao kuvunjika. 
Dowload hapa

Post a Comment

 
Top