Kwa mujibu wa gazeti la serikali la Zimbabwe, The Herald, kundi hilo limekuwa likipokea vitisho kutoka kwa rais wa Zimbabwe. Big Nuz si wasanii pekee wa nchi hiyo waliopokea vitisho kupitia mitandao ya kijamii.
Rapper Cassper Nyovest naye alitishiwa maisha yake ikiwa anajiandaa kwa ziara yake ya Zimbabwe April 25.
Post a Comment