0
Mchekeshaji mkongwe, Amri “Mzee Majuto” Athumani amefunguka na kuweka wazi project yake mpya ya kuandaa filamu 100.

Mzee Majuto akifurahia baada ya kuibuka mshindi wa msanii wa filamu anayependwa

Majuto ameiambia Bongo5 kuwa amefanya hivyo ili baada ya kumaliza kazi hizo apate muda wa kupumzika wa kutosha.

“Yeah na shoot na edit halafu nahifadhi, zikifika 100 nakaa na kupumzika nakula bata, makampuni kama yakihitaji filamu mimi nawapa, mpaka sasa nipo ya sita, nyingi itakuwa nazi-shoot huku Tanga,” alisema Mzee Majuto.

Post a Comment

 
Top