0
Tiketi za mpambano wa ndondi kati ya Floyd Mayweather na Manny Pacquiao katika ukumbi wa MGM Grand Garden Arena jijini Las Vegas, Marekani utakaopigwa May 2 zitaanza kuuzwa leo saa nne usiku saa za Afrika Mashariki.
Bei ya tiketi hizo kutegemea na eneo utakaloketi ni kama ifuatavyo: $7,500, $5,000, $3,500, $2,500, $1,500 na $ 1,000. Masharti si zaidi ya tiketi nne kwa nyumba moja.

Post a Comment

 
Top