0
Barakah Da Prince anaendelea kupata ‘recognition’ Afrika Mashariki baada ya ngoma zake mbili ‘Siachani Nawe’ na ‘Nivumilie’ kukubalika.

Rapper wa Kenya, Rabbit aka King Kaka amedai kuwa kwenye ngoma yake ijayo amemshirikisha msanii huyo wa Tetemesha.

“Two weeks from now naachia kazi yangu na Barakah Da Prince, ambayo itaichiwa kwa Tanzania peke yake,” King Kaka aliiambia Clouds FM.

“Hii ni kwa ajili ya Tanzania, inatwa Mola,” aliongeza.

Kupitia Instagram pia Kaka alipost picha ya Baraka na kuandika: King Kaka ft Barakah Da Prince Loaaaaaaaading…. @barakah_daprince . . .Kubwaaaaaaaaaaaaa.”

Post a Comment

 
Top