0
Diamond Platnumz amekuwa muimbaji wa kwanza kutoka Tanzania kuwa na followers milioni moja kwenye mtandao wa Instagram.
Anakuwa staa wa pili anayeishi Tanzania kufikisha idadi hiyo ya followers baada ya msanii wa make-up raia wa Macedonia anayeishi Dar es Salaam tangu mwaka 2005, Maya Mia.


Maya Mia ni msanii wa make-up anayeishi Mbezi Beach, Dar es Salaam tangu mwaka 2005. Ana followers milioni 1.6 kwenye mtandao wa Instagram




Ukimtoa Lupita Nyong’o anayetokea nchini Kenya ambaye kwa sasa makazi yake yamehamia Marekani na mwenye followers milioni 1.7, ni Davido ndiye aliyekuwa staa wa kwanza wa Afrika kuwa na followers milioni moja akifuatiwa na Wizkid.

Post a Comment

 
Top