Tanzania inawakilishwa na mastaa kadhaa wakiwemo Alikiba, Wema Sepetu, Diamond Platnumz, Martin Kadinda, Sheria Ngowi, Jokate, Jacqueline Wolper, Ommy Dimpoz, Idris Sultan, Jux na wengine. Hii ni orodha kamili ya vipengele watakavyowania wasanii wa Tanzania kwenye tuzo hizo.
Post a Comment