0
 
Mchezaji wa timu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ametwaa tuzo ya mchezaji
bora wa dunia wa Fifa (FIFA Ballon d’Or) kwa mwaka 2014 baada ya kuwapiku Messi na Manuer.


Cristiano Ronaldo alishinda tuzo hiyo kwa kupata kura 37.66% ya kura zote huku Muajentina Lionel Messi akipata (15.76%) na Manuel Neuer kutoka Ujerumani alipata (15.72%)

Kupitia ukurasa wa twitter wa Christiano ameandika: It’s an unforgettable moment in my life to win the Ballon d’Or for the third time! I feel extremely happy, and proud to receive this award and I want to keep challenging myself everyday.”

“I have to thank my family, all the people who support
me and also to my colleagues of Real Madrid and Portuguese National team that make me a better player every day.”



Post a Comment

 
Top