Picha,Zari anavyokodolea macho simu ya Diamond kama Beyonce kwa Jay Z.
Wapenzi Wawili Diamond na Zari wamekuwa wakifananishwa na couple tofauti za mastaa duniani kwa picha na pozi tofauti. Kupitia instagram yake Zari amejifananisha na Beyonce kwa jinsi anavyofuatilia shughuli za Diamond kwenye simu yake muda wote wanapokuwa pamoja.
Post a Comment