Rapa Lil Wayne ameingia kwenye drama ya kugonganisha
Wanawake hawa waliweka wazi kupitia instagram zao kuwa kila mmoja bado anampenda Lil Wayne na kwamba kunakitu kinaendelea kati yao na rapa huyu. Mpaka sasa Wezzy hajasema lolote kuhusu swala hili ila amekuwa akionekana kuwa karibu zaidi na Christina Milian.
Lil Wayne akiwa na Karrine Steffans na Christina Milian
Post a Comment