0

Huenda Diamond Platnumz akafikiria kufanya remix ya ‘Mdogo Mdogo’ baada ya kushauriwa na mtangazaji maarufu wa kituo cha runinga cha Soundcity cha nchini Nigeria, VJ Adams.





Mtangazaji huyo anayeendesha kipindi cha Top 10 za Afrika Mashariki alikuwa akichat na Diamond na kumuuliza maana ya wimbo huo na kama ana mpango wa kufanya remix. Diamond alidai kuwa hajafikiria bado na kumuomba ushauri mtangazaji huyo aliyemwambia Wizkid au Timaya wanaweza kufit.

Post a Comment

 
Top