Ndani ya wiki hii moja ya story zilizokuwa kubwa Bongo ilikuwa ni story ya namba za simu
za mastaa Fid Q na AY kuwa hacked na mtu asiyefahamika, halafu jamaa aliyehack akawa anatuma message kwa marafiki wa karibu wa mastaa hao na kuwaomba hela.
Muda mfupi uliopita, kupitia Instagram na Twitter, Fid Q na AY wameweka story ya kumkamata mtu aliyehusika kufanya uhalifu huo.
“Yule HACKER ndo huyu hapa.. Ni Mwanafunzi wa IFM.. Yuko mwaka wa pili Anaitwa AHMED….“–@fidq (Instagram)
“Huyu ndie aliyehack namba Yangu na Ya @FidQ na kuanza kutapeli watu ndio huyu,Anaitwa Ahmed anasoma IFM 2nd Year”– @AyTanzania (Twitter)
Post a Comment