0
Jebby Hit Singer wa "Swahiba" ft Afande Sele na "Wanapagawa" leo ametambulisha ngoma yake inaitwa "Love Matata" chini ya Mtaarishaji Mazuu wa Mazuu Records, ikiwa ni miaka saba tangu atoe ngoma yake ya mwisho mwaka 2007 iliyoitwa "Marehemu ameacha Orodha"
Jebby ameitambulisha ngoma mpya kwenye kipindi cha Bongo flava na Adam Mchomvu, alipoulizwa sababu ukimya wake akafunguka kuwa aliamua kupumzika na kujishughulisha na biashara zake binafsi.
Sikiliza ngoma hii pakua unavyotaka, watumie marafiki ila usiifanyie biashara.

Post a Comment

 
Top