Usiku wa Jan 17 wakali wa Bongo Fleva Vanessa Mdee, Jux, Nahreel na Aika wamepiga
show ya nguvu iliyopewa jina la Love Kwa Ma Fans iliyofanyika kwenye uwanja wa Ngome Kongwe, Zanzibar.
Miongoni mwa wasanii walio share jukwaa kuamsha hisia za mashabiki kutokana na burudani kali ni Baby J pamoja na msanii kutoka Endless Fame Mirror.
Post a Comment