0
 P-unit
Kwa mujibu wa standard Digital,member wa kundi hilo liloundwa mwaka 2007 kila mmoja
ameanza kufanya kazi zake kama solo project.

Frasha anatarajia kuzindua project yake ijumaa hii,huku Gabu na Bon Eye wakifuatiwa pia.

P Unit ambao pia ni washindi wa tuzo za chanel 0 walifanikiwa kutoa album yao ya kwanza mwaka 2010 ambayo ilibeba hits kama Kare,Hapa Kule,Kushoto Kulia,Hapa Kule na zingine nyingi ambazo ziliwatambulisha zaidi afrika mashariki

Post a Comment

 
Top