Aliyewahi kuwa mtangazaji wa EATV, Teddy Kalonga aka TK, amepata uraia wa Marekani.
Teddy aliyeolewa nchini humo na ambaye ni mama wa watoto wawili
amekuwa akiishi nchini humo kwa miaka kadhaa sasa lakini akiwa kama raia
wa kigeni.
“Omg ! #newUScitizen #maisha-popote-roho-ilipotulia,” ameandika Teddy
ambaye pia ni mwanamitindo kwenye picha hiyo juu aliyoipost Instagram.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment