KANYE WEST AMEMDHALILISHA MKEWE KWA KUMSHIKA MAKALIO HADHARANI?! NI TABIA YAKE, ANGALIA PICHA ZAIDI...
Kanye West na mke wake Kim Kardashian wameteka vichwa vya habari baada ya tuzo za grammy kwa kuonekana wakipeana
busu huku mkono wa Kanye ukiwa kwenye makalio ya Kim, hii ni picha moja kutoka kwenye hizi picha ambazo zimeonekana kuongelewa zaidi kwenye mitandao baada ya tuzo za grammy zilizofanyika jumapili iliyopita.
Post a Comment