0


Katika hali inayoashiria kuwa ukikisapoti CCM ni kama Kosa kwa Baadhi ya watu.

Msanii Ommy Dimpoz amepost postaz ya show ilivyoandaliwa na CCM huko marekani. 
Lakini kaishia kupata matusi na upungufu wa......Like ambazo hupata elfu 3 mpaka 3500 kwa saa.Lakini post hii kapata 1800 tu. 

Wengine Wamuonya Kutochangua Upande kwenye Siasa Kisije kikamtokea kama kilichomtokea Marlaw ambae alitumiwa na CCM wakati wa Uchanguzi 2010 na mpaka leo amepotea moja kwa moja mashabiki wamemtupa.

Post a Comment

 
Top